Rwanda nauli za daladala wanalipa kwa smart card

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Nirahisi sana kukusanya kodi kwenye malipo ya system. Budget hii 2017/ 2018 hawakuona kwamba hiki ni chanzo kizuri pia cha mapato? Wafanye kama Rwanda bhana, tuachane na mambo ya kugongewa coin masikioni kama tunauziana karanga. N a wasiishie kwenye daladala waende hadi kwenye mabasi ya mikoani.
 
Nayo yanahitaji utulivu. Yanahitaji kuheshimiana. Ccm wangeheshimu watu, kuna vitu vingefanyika hapa Tanzania hadi watu wasingeamini. Ccm wamesomesha vijana wao historian, jiografia na kiswahili. Taaluma nziyo ziko upande wa pili ambapo kwao ni maadui, wataanzia wapi?
 
Hivi kwa style ya abiria kugombania mabasi na kuingilia dirishani hii inafaa?, brt module ndio inatufaa, sio huo upuuzi
 
Nayo yanahitaji utulivu. Yanahitaji kuheshimiana. Ccm wangeheshimu watu, kuna vitu vingefanyika hapa Tanzania hadi watu wasingeamini. Ccm wamesomesha vijana wao historian, jiografia na kiswahili. Taaluma nziyo ziko upande wa pili ambapo kwao ni maadui, wataanzia wapi?
sijapata point..fafanua mkuu
 
Hivi utawezaje kuifananisha tanzania na rwanda ,

Rwanda ukiiangalia ukubwa wake ni sawa na wilaya ya temeke
 
Kumbe Rwanda nako kuna mwendokasi..?
Sasa hapa bongo utasikia tunao sisi tu Afrika Mashariki na kati, na kwa Africa mradi mwingine upo sauzi kwa madiba, na Misri , kumbe holaaaa...hata Rwanda kwa mkuu PK wana kitu cha mwendo kasi.
 
Back
Top Bottom