Rais Magufuli onesha Uzalendo wako kwa kufukuza wachina wote

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,441
Mada tajwa yahusika
Nafikiri wanaJF wote na Watanzania wote ni mashahidi
Nchi hii yetu pendwa ya Tanzania imevamiwa na wachina kila uchochoro wapo
Wakati flani nipo kwenye daladala mkoa flani kanda ya Ziwa nimekutana na mchina yupo bwiii kalewa na mfukoni ana K-VANT ndogo
Pale kariaakoo wachina wamejaa wanauza yeboyebo
Na sasa wamekuja na style ya hizi mashine za bahati nasibu wanaingia Bar wanavuta sigara Kwa dharau wanakunywa pombe na kila aina ya ushenzi wanafanya
Kisa Tu China na Tz ni marafiki kidiplomasia
Huu ni urafiki wa kinafiki watz wenzetu wamefungwa China wamenyongwa ila sisi tunawakumbatia hawa wapuuzi japo wanaleta dharau kwenye nchi yetu
Hata Ujenzi wa SGR naskia wamezingua kutoa hela kisa walitaka watukopeshe na wajenge reli it means pesa zao zirudi kwao tukaanza kuwapa tenda waturuki
Rais Magufuli onesha Uzalendo wako kama Mugabe fukuza wahindi wote ,Wachina Wote ni wabaguzi wanataka kututawala Watanzania wenye nchi yetu ,FUKUZA WOTE
 
una ladha za kibaguzi na isitoshe unaweza kuwa mdini.
Kuna mamia kama si maelfu ya watanzania wanaoishi China na kufanya biashara bila kufuata taratibu na sheriaza China.
Ungemshauri rais asisitize kufuatwa kwa sheria kwa wageni wote wanaoishi nchini na si kuwafukuza.
 
Hizo kazi wanazofanya vijana wa kitanzania acha wachina wafanye tu halafu vipo sehemu vinatengeneza barabara kuja wamalize ujenzi tutakuwa na wajukuu wa kichina wa kutosha vinawamimba tu mabinti zetu namshauri rais aimport hata vichina milioni kumi hivi vije vichangamshe vijana wetu kutumia fursa jamaa hawana aibu katika kusaka maisha
 
Back
Top Bottom