Msaada wa haraka: Nimeibiwa laptop kituo cha basi, naweza kuifunga isitumike?

Msaada wa haraka: Nimeibiwa laptop kituo cha basi, naweza kuifunga isitumike?

gapxo

Senior Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
130
Reaction score
72
Nipo hpa stand kuu nimeibiwa laptop hvi naweza kuifunga isitumike ? plz faster kabla hawajafika mbali
 
wataalamu mje mtusaidie, hii inaweza kumpata mtu yeyote, hata kama kuna taadhari tupeane mapema.
 
Chukua mkonge fasta, mtu kule akwasha iaonekana mikonge inaota mpka kukua kwakwe
 
Ukishindwa kisayansi jaribu kiimani mkuu. Pande hizo makarumanzila wapo wakutosha.
 
Back
Top Bottom