chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 212
Wakuu naombeni msaada nataka niiangalie hiyo ripoti live kupita link wa web ya ikulu kwa kutumia laptop yangu sasa nifanyeje nipo mbali na tv na sitaki kupitwa na ndondo zitakaxo shushwa siku hiyo
Msaada wenu tafadhali
Msaada wenu tafadhali