UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Wadau Usiku Kuna Hawa Viumbe Wanaokunywa Haya Maji Ya Ajabu Wanapiga Kelele Kama Vichaa Niwafanyaje Mana Huwa Nawafunguliaga Mbwa Lakini Hawakomi
Mkuu tumia majina mazuri ya kuwaita hawa ndugu zetu ili ujumbe ufike salama,,.Kuna Albino mmoja aliwakomesha huku kwetu. Ile mida ya wanayorudi home usiku alikuwa anatokea kwa mbele halafu anasimana upande wa barabara mlevi alipo. Akihama upande naye anahamia. Mwisho mlevi anaona isiwe tabu ngoja nitimue mbio.
Nafikiri ungetumia trick inayofanana na hiyo.
Mkuu tumia majina mazuri ya kuwaita hawa ndugu zetu ili ujumbe ufike salama,,.
If you can't defeat them, join them. Hakuna namna nyingineWadau Usiku Kuna Hawa Viumbe Wanaokunywa Haya Maji Ya Ajabu Wanapiga Kelele Kama Vichaa Niwafanyaje Mana Huwa Nawafunguliaga Mbwa Lakini Hawakomi