Kazi za Ecotuorism and Nature Conservation

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,420
2,000
Wapendwa habarini za mchana..! Ninatafuta kazi nimesoma bachelor ya Ecotourism and Nature Conservation, nimejaribu kutafuta kazi nimekwama hivyo ombi nimelileta kwenu wadau ambao wenye taarifa yoyote ya kazi za kada yangu.
Nitashukuru kwa michango wenu.

NB: Ombi langu nimelileta kwenye jukwaa hili kwa kuwa wadau wengi ni watembeleaji wa jukwaa hili pendwa.
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,708
2,000
Hujaeleweka. Unatafuta kazi za Eco tourism na Nature conservation au Unatamani uombe hizo kazi. Itategemea umesoma kozi gani.
Wildilife management, Environmental science, Botany naamini hujasoma huko wewe unaonesha umesoma Ustawi wa Jamii.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,065
2,000
Wewe naona hujaelimika yani umesoma mwaka wa kwanza, mwaka wa pili na wa tatu hadi kuendelea ukamaliza bado hmhujajua hicho unachokisoma kinatumika wapi na kwenye nini??
Wapendwa habrini za mchana..!!1

Jamani mwenye ufahamu na kazi zinazotolewa au kutangazwa zinazohusiana na mambo ya Ecotourism and Nature Conservation, nimejaribu kutafuta kazi nimekwama hivyo ombi nimelileta kwenu wadau ambao wenye ufahamu wowote na kazi za kada yangu.
Nitashukuru kwa michango wenu.

NB: Ombi langu nimelileta kwenye jukwaa hili kwa kuwa wadau wengi ni watembeleaji wa jukwaa hili pendwa.
 
kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,420
2,000
Hujaeleweka. Unatafuta kazi za Eco tourism na Nature conservation au Unatamani uombe hizo kazi. Itategemea umesoma kozi gani.
Wildilife management, Environmental science, Botany naamini hujasoma huko wewe unaonesha umesoma Ustawi wa Jamii.
Ninatafuta kazi mkuu nimesoma ecotourism and natural resources conservation..!!!
 
kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,420
2,000
Wewe naona hujaelimika yani umesoma mwaka wa kwanza, mwaka wa pili na wa tatu hadi kuendelea ukamaliza bado hmhujajua hicho unachokisoma kinatumika wapi na kwenye nini??
Ok samahani kwa mkanganyiko mkuu na phrase yangu naona haiko vizur kidogo mkuu in short natafuta kazi na nimesoma ecotourism and natural resources conservation..!!!
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,708
2,000
Fani yako ni moja ya fani nzuri na zinapendwa na wafadhili. Tafuta mobile application developer na wewe kaeni chini andikeni proposal hata ya kuokota plastics na kutengeneza hata mifuko, app itawasaidia kuconnect na waste collector na wanununuzi wa product zenu lakini ni vema ikafanyika kama huko zanzibar,bagamoyo,Kilwa,Mikindani. Jiongeze kwenye forums za Wwf, UNEP na hata linkeldn kuna watu wanatafuta partners wa miradi mbalimbali. Project za Sustainable cities,jiongeze wizara ya maliasili,ardhi, Costech, proposal itembeze DFID, Ubalozi wa Sweden etc. Jiongezee tuu
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,708
2,000
Cha muhimu Proposal yako iendane na Ecotourism. Mfano Hotels za kitalii hata hapa mjini unaweza ukawa unaenda kuchukua taka za plastic halafu una zi recycle hata kutengeneza madodoki ya kuoshea vyombo, magari etc.
Iandike iwe na ushawishi utatusua funds toka kwa wafadhili.
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Pole kwa kupost kwenye hili jukwaa. Jiandaae kisaikolojia kupokea coments za wanasiasa
 
kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,420
2,000
Fani yako ni moja ya fani nzuri na zinapendwa na wafadhili. Tafuta mobile application developer na wewe kaeni chini andikeni proposal hata ya kuokota plastics na kutengeneza hata mifuko, app itawasaidia kuconnect na waste collector na wanununuzi wa product zenu lakini ni vema ikafanyika kama huko zanzibar,bagamoyo,Kilwa,Mikindani. Jiongeze kwenye forums za Wwf, UNEP na hata linkeldn kuna watu wanatafuta partners wa miradi mbalimbali. Project za Sustainable cities,jiongeze wizara ya maliasili,ardhi, Costech, proposal itembeze DFID, Ubalozi wa Sweden etc. Jiongezee tuu
shukrani kwa mwanga ulionipatia mkuu...!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom