Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Hivi sasa soko la Magari linapata msukomo mkubwa kuelekea kwenye matumizi ya magari ya kisasa ambayo ni fuel economy na pia hayana effect kubwa katika mazingira.
Kutokana na kukuwa kwa technologia, makampuni ya Kutengeneza magari yameweza kuja na aina mpya ya magari yenye uwezo wa kutumia mafuta pamoja na umeme. Haya yanaitwa Hybrid cars.
Kila kampuni kubwa za kutengeneza magari zimeweza kutengeneza hybrid cars ambazo ni affordable. Brand new kwa bei zinarange kuanzia $18,000 nakuendelea.
Smart cars nyingi ni gari zilizotengenezwa kutumia mafuta kidogo sana. Hi sheria haitakuwa catalyst ya kufanya watu kukimbilia magari ya namna hii na kuachana na yale yanayokunywa mafuta kama kiboko anavyokunywa maji.
Hii sheria mpya ya Motor vehicle licence itawezaje kucopy na haya mabadiliko ya technology. Maana inatabiliwa kufikia 2026 zaidi ya 50% ya magar barabarani yatakuwa hybrid cars na smart cars.