Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,179
- 5,308
Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa.
Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na shuguli yakee!!
Kwa wale wapenzi sasa hapa ndo mahala pakee!!
Usihofie kuhusu vyakula sasa ni bei chee.Ukweli najivunia kuwa iringaaa
Prove me wrong!!