Nipo Mombo Navunja Mbavu Za Mbuzi Za Kuchoma Na Discover Langu Nililolifungia Tangu 2015.

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,951
2,000
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
Kwa hiyo unatutambia kwamba una Land Rover Discovery?Tuambie na sisi basi wenzio,ulipiga dili gani kulipata?Maskini bwana,akipata matako hulia mbwata.
 
UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Jf Ni Sehemu Ya Burudani Na Elimu Lakini Humu Jf Kuna Mijitu Ina Kiwango Kingi Cha Adrenaline Ktk Figo Zao Inapondaponda Tu Imejawa Na Msongo Kazi Karaha Tu Haijui Hata Kufurahi Yaone Kumbuka Jf Ni Ya Wote Si Yako Peke Yako
 
Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,425
2,000
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni

Hongera sana kwa kukata mitaa na kichwa cha treni, lakini muda si muda utakipaki tu labda uwe na okoo na mfalme wa Saudi Arabia!
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,253
2,000
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
Acha kiherehere, watukamanyinyi ndio mnafanya serikaliione kama kulikuwa na hajayakutoza hiyo kodi.
 
Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,212
2,000
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
Hiyo sio changa la macho kweli? Mbona hiyo bajeti haijapitishwa bado? Nijuavyo ni kuwa ikiwa Bunge litakubaliaba na hiyo proposal basi itaanza rasmi tarehe 1 Julai. Kama umepita nalo ni bahati ya mwizi kuiba bila kukamatwa.

Vv
 
tueur de lion

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
903
1,000
Mwanangu ifurahie pesa kabla hujaipangia matumiz,wa2 tulisoma kwa shda mpaka tumekuwa madingi dhiki haziish tu...yafurahie maisha kama umeyafumania,Ila umenikumbusha ile bar ya Liverpool na ile conner Kali ya Mombo kwenye daraja kama unatokea K'njaro baada ya kuivuka hyo conner ndy unaingia hapo wanapochoma nyama
 
Rubajirwa

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
474
250
Wadau Nipo Mombo Hapa Navunja Mbavu Za Kuchoma Discover Langu Linaoshwa Mavi Ya Ndege Yani Raha Tu Sijasimamishwa Hata Na Wauza Machungwa Wala Yange Yange Nasepa Hedaru Kwa Rafiki Yangu Karibuni
Mkuu hapo ndio penyewe kwa nyama ya mbuzi nilikua nakula sana kipindi nasoma moshi kila nikipita hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom