Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,688
- 239,246
Nimeona mara kadhaa wakitaka waonekane kama polisi , wamejaribu hata kutumia magari yanayofanana na magari ya polisi ( DEFENDER ) , hivi wamelenga kumtisha nani ? Zipo taarifa kwamba eti nao wanaomba hata rushwa !
Hivi ni nani anayalinda haya makampuni ya kidalali , mbona Mkuu wa Mkoa aliyekuwepo awali Mercky Sadiki aliyaondoa ?
Hivi ni nani anayalinda haya makampuni ya kidalali , mbona Mkuu wa Mkoa aliyekuwepo awali Mercky Sadiki aliyaondoa ?