Nitawezaje kupata Pasi ya kusafiria(Passport ) kwa haraka?

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
378
165
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka niweze kusafiri mara moja.

Yeyote mwenye msaada anisaidie.
 
huja fafanua mkuu hata kenya,uganda,rwanda,burundi,malawi pia ni nje ya nchi fafanua ili tuku saidie
 
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka niweze kusafiri mara moja.

Yeyote mwenye msaada anisaidie.
Kama uko Manyara nenda kwenye ofisi za migration, ziko Mrara ya juu watakusaidia. Km vp ni pm nikuunganishe na jamaa yangu.
 
Eti nimesikia kuwa ukiwa unaenda Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi huitaji kuwa na visa? nisaidieni hapa na mimi.
 
hakuna visa na kuna pasipot ina itwa talaka rejea ni elfu 5 na picha zako za paspoti size na kuna nyingine ya elfu 15 hadi elfu 20 ila kama una enda kufanya kazi huko please fata shelia ya vibali vya kazi pia sio nchi hizo tu hata hizi nchi una weza kwenda bila viza malawi na zambia congo visa ipo kaka
 
Usichukulie mkoani nenda dar kama unahitaji hadi hiyo tarehe , mimi najuta kuchukulia mkoani kwani safari ilifika passport sijapata
 
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka niweze kusafiri mara moja.

Yeyote mwenye msaada anisaidie.
Kam ukifanikiwa tatizo lako naomba unipe muongozo kiongozi. I have the same problem sema mimi tareh 12..feb
 
Nilikua nimekatiwa tiketi wakati sina passport, nilipiga kambi makao makuu Dar es Salaam Ijumaa mchana, Jumatatu asubuhi nikachukua Passport yangu nikakwea Pipa.

Bado nazidi kupendekeza serikali idara ya uhamiaji waanzishe huduma ya express kwa wenye haraka zao hata kama gharama zitakua juu kidogo, watakaoweza kulipia pesa itaenda serikalini na watapata huduma kwa haraka.
 
wahi ukifika jaribu kumtafuta au kumuomba mtu yeyote akusave mana hawakawii kukuzungusha ila kwa mkoani utatumia hata mwezi kuipata
bado cjapata MTU Wa kunisadia mpk sasa niipate mapema sana jamanii
 
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka niweze kusafiri mara moja.

Yeyote mwenye msaada anisaidie.
Npgie 0784616544
 
Back
Top Bottom