Zimbabwe: Akamatwa Baada ya kumfanyia Mtihani mpenzi wake

sanchez255

Senior Member
Jun 9, 2015
171
312
Kijana Mmoja wa kiume Amekamatwa Baada ya Kujivisha Mavazi ya kike Ili Aweze kufanya mtihani kwa niaba ya mpezi wake..

Baada ya kuhojiwa kijana huyo Alisema kuwa Ameamua kufanya hivyo kwakua mpenzi wake Amefeli mtihani huo mara Nne..
 

Attachments

  • FB_IMG_1497183794449.jpg
    FB_IMG_1497183794449.jpg
    25.8 KB · Views: 20
Back
Top Bottom