Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kama ilivyokuwa katika zoezi la kumkabidhi Rais John Pombe Magufuli report ya kwanza ya makontana pale ikulu, kulikuwepo wasanii kama wakina Frora mbasha, Shilole, Kalala junior etc.
Huu mkakati hata mimi ilinivutia maana tuliweza pata burudani. Ningependa kujua hivi na kesho watumbuizaji watakuwepo au ndyo tulikuwa tunaonjeshwa karanga?
Anayejua wasanii walioandaliwa kutoa burudani katika zoezi la usomaji wa report ya pili hapo kesho naomba atujuze ili tujiandaye mapema kupata burudani.