GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Ni bora tu hata kusingekuwa na Nyumba za Ibada kwani binafsi sioni umuhimu wake. Hivi kama kila Siku au kila Ijumaa au Jumamosi au Jumapili Watu ( Waumini ) wanafurika kwenda Kuabudu lakini hao hao na pengine siku hiyo hiyo utawaona au utawakuta.....
Acheni kujifanya Wacha Mungu wakati kumbe ni Wanafiki watupu na kuna Watu siku ya Kiama mtafanywa kuwa ndiyo Kuni za Kuchomea wenye dhambi wenzenu. Halafu hapo hapo mnawacheka Wapagani wakati hata hamna tofauti nao na pengine unaweza kukuta hao Wapagani wanatenda mambo mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu kuliko nyie Wanafaki wa Kutukuka wa Imani.
Nawasilisha huku nikijua ya kwamba ' message sent and delivered '.
- Wakiteta Watu
- Wakisema Uwongo
- Wakiingia Nyumba za Kulala Wageni Kubanduana
- Wakidhulumu
- Wakiiba Kitu dukani
- Wakikwepa kumlipa Kondakta nauli yake
- Wakipiga Chabo