real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Wakazi zaidi ya 200 wa Kimara wamelalamika kutotendewa haki baada ya kuambiwa wabomoe nyumba zao ndani ya siku 30 kwa gharama zao, tarehe 8/6 ndio nyumba hizo zinatakiwa zianze kubomolewa
Wananchi hao wanadai wameishi muda mrefu hapo wengine miaka zaidi ya 30, sasa wamefungua kesi mahakamani na kesi hiyo imepata pingamizi kutoka kwa mwanasheria mkuu na wakili wao anapitia pingamizi hilo,