Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,907
EWURA yatema madini hebu .
Soma hapo kwenye ambatanisho.
Je, hawakujua kuwa ni makosa Kupokea maombi ya IPTL hadi watumbuliwe!?
Je, ni kweli kuwa ofisi na mamlaka nyingi hapo Tanzania zinaendeshwa na watu back ambao hawamo kwenye mfumo wa mamlaka hizo!?.
Sababu kuu , inayonipelekea kusema hivyo ni kutokana na mamalaka hizo kufanya makosa yaleyale ya kila siku na kutumbuliwa kwa wakuu au wakurungezi wa mamalaka hizo!.
Maoni yenu wadau...