M Milindi JF-Expert Member Mar 3, 2009 1,468 751 Jun 11, 2017 #1 Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 12,448 11,022 Jun 11, 2017 #4 Milindi said: Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo Click to expand... Mbona unweka namba zangu kwenye mitandao?
Milindi said: Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo Click to expand... Mbona unweka namba zangu kwenye mitandao?
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 11, 2017 #5 Hatari sana, usawa mgumu hadi watu wanakuwa matapeli...Nitakuwa makini asante kwa angalizo
M Milindi JF-Expert Member Mar 3, 2009 1,468 751 Jun 11, 2017 Thread starter #6 Sio mtandaoni hata kwenye vyombo husika tayari!
Ngoniboysinai JF-Expert Member Aug 6, 2013 590 482 Jun 11, 2017 #7 Nami nataka nimtapeli asante kwa hii no
DearCalen Member Jun 9, 2017 91 51 Jun 11, 2017 #8 wapo weng kma hao yan mpka wanajfnya wahudum wa baadh ya mitandao et umejshndia pesa