Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar zenu wanajf.....,TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "recognition of prior learning(RPL)'' kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na Nishati (EWURA), Felix Ngalamgosi amekuwa ofisa wa umma anashikilia rekodi ya ajira yake kusimamishwa usiku zaidi. Wachambuzi wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wasichana zaidi ya 700 walioshindwa kuendelea na Elimu ya Sekondari katika Jiji la Tanga wamepewa nyenzo mbali mbali zitakazowasaidia kujipatia kipato ikiwemo vyerahani, vyote vikiwa na thamani ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Marahaba wana if. Matukio yanayojiri Ikwiriri na kwenye ripoti za makinikia in matunda ya kuajiri watu kwa kujuana bila kufuata weledi Wa MTU Usalama Wa taifa Enzi za mwalimu, usalama Wa taifa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeshanga sana app hii ni lishajiunga muda sana kama miezi sita nyuma nikawaa naitumiatumia sasa majuzi nikapata shida kidogo nikawa nataka kuitumia ss nachoshangaa kilaa nikiijatibu...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Habari zenu wakuu. Nasikitika sana na naumia sana moyo wangu si kwa mabaya ila nasikitika sana kuwaona wazazi wangu wawili wametengana toka nikiwa mdogo hadi sasa na mimi nina mtoto. Nilijiuliza...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Awamu hii ukitingisha kiberiti cha kiutapeli tu umedakwa, kama mtu unajijua una asili ya wizi afadhari ufanye kazi nyingine ujiibie mwenyewe ili uone uchungu wa wizi Ushauri wangu kwa Uongozi wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanachosha sasa, kila tukio ambalo lipo mubashara wao kama vituo hawawezi kurusha moja kwa moja kwa kutumia kamera zao, wanaomba msaada kupitia chaneli ya Azam Two ambayo imeanza juzi...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nasisitiza! Acacia Mining Plc, kupimana nguvu na Mamlaka ya IKULU huo ni Uhaini! 1- Uongozi wa Acacia Mining Plc kupinga ripoti ya kamati iliyoteuliwa na RAIS. Huo ni uhaini. 2- Uongozi wà...
8 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika muendelezo wa tiba waliyofanyiwa mwaka 2015. Watoto wa kitanzania waliokatwa viungo vyao kwa imani za kishirikina, wameendelea kunufaika na tiba zaidi ya kuwekewa viungo vya bandia...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Ilikuwa jioni na ikawa asubuhi atimaye muda ukawadia kwa watanzania kujua mbivu na mbichi, tukumbuke baada tu ya kamati ya kwanza kutoa taarifa zake, mh. Tundu Antipas lisu alitoa povu sio la nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi mbalimbali waliopita katika hawamu tofouti wanahitajika kuhojiwa juu ya mikataba ya madini hapa nchini nidhahili kwamba sasa makaburi yanaanza kufukuliwa.maana tuliaminishwa kwamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
... kuna kitu nimekipoteza halaf nakihitaji sana... je kuna mtu anayeweza kunisaidia juu ya hili au anamjua mtu anayeweza kunisaidia aniunganishe naye... natanguliza shukrani.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu,, Naomba mwenye kujua mixtape nzuri ya nyimbo za zamani za bongo anijuze na mie nipate idownload
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Noted with concern. Serikali ilitoa tamko kwamba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zitumike kwenye hafka zote za kiserikali. Leo imekuwaje kule ikulu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mahakama ya wilaya ya Mpanda imemhukumu miaka 20 jela Robert Nakie baada ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Milioni 120.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakazi wawili wa Kijiji cha Musimi wilayani Ikungi, wamefariki dunia baada ya kushambuliwa na kundi la tembo waliovamia Kitongoji cha Italala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora...
0 Reactions
6 Replies
846 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…