Msaada jamaani katika hili

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
566
209
Habar zenu wanajf.....,TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "recognition of prior learning(RPL)'' kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree

Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo vilivyoainishwa,na kwa wale watakaofaulu mtihani watapata nafasi ya kujiunga na degree Chuo chochote hapa nchini kwa mwaka huu wa masomo

Kwa anae fahamu sifa,na vigezo vinavyokidhi kufanya mtihani wa RPL ,naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom