Mpanda: Mahakama yamhukumu Robert Nakie miaka 20 jela kwa kukutwa na meno ya tembo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Mahakama ya wilaya ya Mpanda imemhukumu miaka 20 jela Robert Nakie baada ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Milioni 120.

DCGedpuXcAcv1i_.jpg
 
Bora huyo kakutwa na meno ya tembo.ukikutwa na pembe za ndovu naskia unafungwa maisha.
 
MENO TU YA TEMBO MIAKA 20,JE ANGEKUTWA NA PAPUCHI AU DHAKARI YA TEMBO SI ANGENYONGWA!!!
 
Mahakama ya wilaya ya Mpanda imemhukumu miaka 20 jela Robert Nakie baada ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Milioni 120.

Ni sawa kabisa,
Ila isiwe some people are more humans than others, yaani wengine wana haki zaidi ya wengine, maana hawa wa madini wapo tu wanatesa uraiani na ilhali wao adhabu ilipaswa iwe kunyongwa badala ya kifungo, ukilinganisha hayo matrilioni na hizo mil 120,
 
Thamani ya Tsh mil 120....

Ndio maana biashara hii haishi kwa sababu ya "matanio"

Mnataja thamani ya nini? na mliuza wapi mkajua hiyo thamani yake!
 
Na hizo baruti za kwenye migodi..( SUPER POWER 90 )..nazo kakamatwa nazo AU/////
 
Back
Top Bottom