Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,073
Noted with concern.
Serikali ilitoa tamko kwamba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zitumike kwenye hafka zote za kiserikali.
Leo imekuwaje kule ikulu kulikuwa hamna cha wimbo wala bendera.
Serikali iliangalie na hilo japo ni dogo ila lina impact kubwa sana. Nchi zingine za Jumuiya popote ukiona bendera ya taifa lazima kuna bendera ya EAC pembeni.
Nawasilisha!