Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 705
Nasisitiza!
Acacia Mining Plc, kupimana nguvu na Mamlaka ya IKULU huo ni Uhaini!
1- Uongozi wa Acacia Mining Plc kupinga ripoti ya kamati iliyoteuliwa na RAIS. Huo ni uhaini.
2- Uongozi wà Acacia Mining Plc kumzuia mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Zainab Tellaack kuingia mgodini kukagua kuona kama uzalishaji umesitishwa baada ya maafisa wa TMAA kuwa wameondoka. Huo nao ni uhaini! Kushindwa kutambua nafasi ya Mkuu wa mkoa katika mkoa.
3- Maelezo ya meneja ufanisi na maendeleo ya jamii wa mgodi wa Bulyanhulu, Elias Kastila aliyotoa kuelezea sababu zilizopelekea kumzuia mkuu wa mkoa ni upuuzi mtupu na dharau kubwa kwa Mamlaka ya mkuu wa Shinyanga! Huu nao ni Uhaini tu!
Watu hawa wanapaswa kuchikuliwa hatua sitahiki. Dharau hiyo waliyoionyesha kwa watawala wetu, haipaswi kufumbiwa macho na Watanzania wazalendo wanaotetea na kulinda rasilimali zetu ili ziweze kuwanufaisha Watanzania wote!