ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Hawa jamaa wanachosha sasa, kila tukio ambalo lipo mubashara wao kama vituo hawawezi kurusha moja kwa moja kwa kutumia kamera zao, wanaomba msaada kupitia chaneli ya Azam Two ambayo imeanza juzi juzi tu kuliko hata wao. Hii ni sawa na kusema vituo tajwa hapo juu vinapenda kitonga ( mteremko ).
Sasa hivi Clouds Tv na Chanel Ten wanaonyesha uwasilishwaji wa ripoti ya Makinikia kwa kupitia kituo cha Azam two, wakati vituo vyote vipo hapahapa Dar Es Salaam tukio linakofanyika.
Mbadilike mnatuchosha sisi Watazamaji wa vituo vyenu!