ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 124
Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na Nishati (EWURA), Felix Ngalamgosi amekuwa ofisa wa umma anashikilia rekodi ya ajira yake kusimamishwa usiku zaidi.
Wachambuzi wa masuala ya kiuchumi na siasa wamezungumzia utenguzi huo katika mitazamo tofauti ambapo wengi wao wanazungumzia kusimamishwa kazi kwa mkurugenzi huyo huenda kwa kiasi kikubwa kumesababishwa na wasaidizi wake au utendaji wake usioridhisha.
Huku wachambuzi wengine wakiweka bayana kuwa kikichopelekea utenguzi wa bosi huyo kutokana na yeye kutoa tangazo la IPTL la maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kwa kipindi cha miezi 55.