Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,834
- 4,463
Katika muendelezo wa tiba waliyofanyiwa mwaka 2015. Watoto wa kitanzania waliokatwa viungo vyao kwa imani za kishirikina, wameendelea kunufaika na tiba zaidi ya kuwekewa viungo vya bandia wanayoipata katika Hospitali ya Shriners Jijini Philadelphia.
Shukran za dhati ziwaendee madaktari na wahusika wote waliojitolea kwa namna moja au nyingine kuhakikisha kuwa watoto wetu hawa wanaendelea na maisha yao baada ya mabaya yote yaliyowafikia.
Habari hapa chini ni baada ya matibabu yao ya awali mwaka 2015.
Albino witchcraft victims mutilated for their body parts as part of black magic rituals return home with prosthetic limbs after surgery in US... but still fear for their safety
Fresh start: Mwigulu Matonange Magesa (left) and Baraka Cosmas Lusambo help each other to put their prosthetic limbs in a bag after a therapy session at Shriners Hospital for Children in Philadelphia
Mwigulu Matonange Magesa, 12, adjusts his prosthetic arm as he plays a card game earlier this week