Makinikia ya madini yafukua makaburi Rasimi

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Viongozi mbalimbali waliopita katika hawamu tofouti wanahitajika kuhojiwa juu ya mikataba ya madini hapa nchini nidhahili kwamba sasa makaburi yanaanza kufukuliwa.maana tuliaminishwa kwamba yaliopita si ndwele tugange yanayokuja.
Haaaa!!!! Chenge mzee wa visenti naye yumo
 
4a978ade1559f77a983bb6d8229ea36a.jpg

Vipi? Hii namba wataiweza kweli
 
Teh teh...... Patamu hapo. Najua muda si mrefu barua za tenguzi zaja.
 
Makaburi ya uuzwaji hovyo wa nyumba za serikali nadhani yataanza kufukuliwa rasmi.....
 
Nasubiri kuona wataishia wapi.

Sasa vyombo vya habari vipige kazi, sio kupenda udaku na uongo wa mitandaoni tu.
 
Back
Top Bottom