ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,977
ASANTENI
Mkuu nenda chuoniAssalam alykum warahmatullah wabarakat!!
Poleni kwa mchoko na hongereni kwa kuidiriki ibada ya swiyamu.
kwa anaejua kufanya repair za friji na air condition naomba anifunze maana nahitaji sana kupata huo ujuzi ...mda unaofundishwa kozi hiyo ktk Chuo cha ufundi veta sio rafiki kwangu that's why nimekuja kuomba hii elimu kutoka kwenu ndugu zangu
Asanteni