Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,337
Marahaba wana if.
Matukio yanayojiri Ikwiriri na kwenye ripoti za makinikia in matunda ya kuajiri watu kwa kujuana bila kufuata weledi Wa MTU
Usalama Wa taifa
Enzi za mwalimu, usalama Wa taifa alipatikana kwa kuchunguza tangu akiwa mtoto, primary, secondary n.k. Alichunguzwa pia familia anayotoka kama ni wasiri na werevu.
Alitakiwa awe mbunifu na problem solver.
Kwa tukio LA Ikwiriri tayari wahusika wangekuwa wamejulikana.
Lakini kwa kuwa sasa wanaajiriwa vilaza, mradi tu kuna MTU mbele basi hakuna anayejali.
Suluhisho in kuajiri kwa mtu aliyetayari kula jalalani akichunguza siyo hawa mapedeshe ukimnyima via anakuonesha kitambulisho.