Nmb app hivi bado inafanya kaz?

james bendui

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
683
676
Nimeshanga sana app hii ni lishajiunga muda sana kama miezi sita nyuma nikawaa naitumiatumia sasa majuzi nikapata shida kidogo nikawa nataka kuitumia ss nachoshangaa kilaa nikiijatibu inaniandikia service unavailable ss sijui kunatatiz naomba kujuzwa zaid kwa anayefahamu zaid
 
Back
Top Bottom