Simba Sports Club na ITV/Radio one wana beef gani?

Hume

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
340
106
Naombeni anayefahamu ugomvi baina ya Club ya Simba na ITV/Radio one anihabarishe.

Kwa muda mrefu vipindi vya michezo katika TV na redio huwa hawatoi matokeo ya Simba wala kuzungumzia habari za timu hiyo kwenye vyombo hivyo.

Kulikoni?
 
Hata mechi ya simba na Yanga ya hivi karibuni ambapo simba ilishinda goli moja haikuoneshwa kabisa wala kipindi cha michezo hakikutangaza.kinyume na taratibu za uandishi hapa inadhibitisha madai ya mbunge Adam Malima dhidi ya Mengi yana ukweli. ITV na Redio one hawafuati maadili ya kazi zao.
 
Kama taasisi binafsi wanahali fulani ya utoto utoto hivi, na hali hii ni dhahiri wanaweza kutumia vibaya nafasi yao waliyonayo kukuchafulia jina. Kwani Manji anahisa pale Simba au hapo Simba kuna binamu yake Manji? Tusubiri tuone zaidi.
 
Hivi juzi mlitoka kuwalalamikia E-fm, leo ITV/Radio one. Anzisheni vyombo vyenu vya habar ka mnahisi kuonewa, after all hamna haki ya kulazimisha kutangazwa, hvyo ni vyombo binafsi.

malalamiko fc mnaboa sana, kidume hakisifiwi kulialia
 
post ya 2007 hii ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom