Njoo inboxHabari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda mwenye ufahamu kidogo aniambie natakiwa kupitia wapi na wapi
project inahusiana na mambo ya ITHabari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda mwenye ufahamu kidogo aniambie natakiwa kupitia wapi na wapi
Njoo nikupe maelezo kijanaHabari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda mwenye ufahamu kidogo aniambie natakiwa kupitia wapi na wapi
uko mkoa gani mkuuproject inahusiana na mambo ya IT
jamani ninachotaka kujua nia atuagani nitumie kupata hatimiliki