Hivi hadi kwa hatua hizi mahakama ya mafisadi bado haina wateja?

HIYO MAHAKAMA YENYEWE IKO WAPI,INAJIENDESHA VIPI,NA NI HATUA GANI WANAZIFUATA KATIKA KUJIENDESHA??!!!
 
Tatizo ni kwamba hamna alie msafi kati yao... Nani amuhukumu mwenzake sasa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam hilo ndiyo jibu sahihi. Kama ni kweli Tanzania tunataka kupambana na mafisadi basi mafisadi Mkapa, Kikwete na Magufuli wote ni mafisadi na upo ushahidi wa kutosha dhidi yao wa kuwapandisha kizimbani.

Tatizo ni hii katiba uchwara ambayo hawa Marais wamekuwa kama miungu hata wafanye uovu upi dhidi ya Tanzania na Watanzania mkono wa sheria hauwagusi hata chembe. Halafu hawa wahuni wanatoa kauli kwamba "Katiba mpya si kipaumbele changu" mwingine anadai "Katiba mpya itapatikana wakati muafaka" sijui huo wakati muafaka ni upi?

Tatizo ni kwamba hamna alie msafi kati yao... Nani amuhukumu mwenzake sasa?
 
Back
Top Bottom