cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,328
Kwa kinachoendelea muda huu kwenye television ya taifa TBC no cha kupongezwa na kila mzalendo was nchi hii, huku binge la bajeti likiendelea gizani wao wako mubashara wanamwonyesha makonda akipokea magari machakavu kabisa kutoka jeshi la polisi, sasa Mimi najiuliza hapa hivi Hawa TBC wameona haya ndio maslahi ya uma tunayoaminishwa kuliko wale wanaoamua kule Dodoma tukamuliwe vipi, hapa nawasilkana na mtoa Huduma waifute TBC kwenye king'amuzi changu nisije siku nyingine wakaniharibia siku