CCM msitufanye watanzania ni wajinga

bright platnumz

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,749
2,000
*RipotiYaKwanza*

*Lissu*: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

*CCM*: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

*RipotiYaPili*

*JPM*: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

*CCM*: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

*MyTake*
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 

luhuye

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
294
250
hawajielewi wachane na lile neno la ndioooooooo Tanzania tumefika hapa kwa sababu ya wingi wa wabunge wa ccm kilakitu ndiooooo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom