Watanzania wawili vijana watajwa Forbes

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,895
8fb52049-08aa-4e82-8489-9e3a08b21828.jpg

Ni kazi ya millardayo kuhakikisha haupitwi na chochote, nakusogezea hii nyingine kutoka jarida maarufu linalofatilia taarifa za watu mashuhuri na vitu vya kushangaza duniani,FORBES limetoa list ya ‘Vijana 7 Wajasiriamali’ wa kuwaangalia zaidi mwaka 2017 wakiwemo WatanzaniaJacqueline N. Mengi na Patrick E. Ngowi.

Vijana hao 7 waliotajwa kutokea Afrika wote wako chini ya miaka 40 na wamekuwa wakiwekeza nguvu na mali kwenye biashara ambazo ni za kipekee na ambazo zinakuwa kwa haraka zaidi barani Afrika na duniani.

Nimekuwekea hapa list nzima.

  1. Adeniyi Makanjuola – Nigeria
  2. Jacqueline Ntuyabaliwe – Tanzania
  3. Patrick E. Ngowi – Tanzania
  4. Ndijeka Akunyuli Crosby – Nigeria
  5. Fatoumata Ba – Ivory Coast
  6. Rupert Ryan – Afrka Kusini
  7. Ludwick Marishane – Afrika Kusini


VIDEO: Ulipitwa na hii biashara ya Furniture aliyoifungua Jacqueline Mengi? Nimekuwekea hapa chini
 
Hiyo video ya biashara ya furniture iko wapi? Anyway, watu wanaofanikiwa kwa kudandia jasho la watu wengine huwa hawana nguvu wala mamlaka ya kujisifu kwa mafanikio yao. (Eg.jasho la Mengi linavyodandiwa na kushadadiwa hapa). Ila mtu kama Bahkressa ana kila haki ya kujidai na jasho lake, hajadandia kwa mtu.
 
"wamekua wakiwekeza nguvu na mali kwenye biashara ambazo ni za kipekee na ambazo zinakua kwa haraka barani Afrika na duniani" Huyu mke wa mengi kapachikwa tu, furniture haina hio sifa... Hii listi ina walakini
 
Hiyo video ya biashara ya furniture iko wapi? Anyway, watu wanaofanikiwa kwa kudandia jasho la watu wengine huwa hawana nguvu wala mamlaka ya kujisifu kwa mafanikio yao. (Eg.jasho la Mengi linavyodandiwa na kushadadiwa hapa). Ila mtu kama Bahkressa ana kila haki ya kujidai na jasho lake, hajadandia kwa mtu.
Kama ambavyo SSB anavyopata credit kwa "kuwatakatishia" wakubwa fedha walizotuibia.
 
[HASHTAG]#Patrick[/HASHTAG] Ngowi Kashamaliza Deni lake la Stanbic?
[HASHTAG]#Jaqline[/HASHTAG] naye kawa Bilionea kwa Biashara? Aisee Tutaona MENGI.
 
Tatizo Forbes Huwa hawana ukweli
Hadi uwafate uwahonge kwanza na ndio hayo yanafata
 
Back
Top Bottom