huwa hayapigwi picha bali ana scan naku upload.Ni kwikwi ya hatari. Kuna watu wana viblog na wanajitia kuweka magazeti, leo hawana lolote. Wapo hapohapo dar kama le bongez lakin wanashindwa kwenda kijiweni na kiga picha magazeti.
Wangekuwa wanapiga picha wasingepata quality ile, zinakuwa scanned. Halafu sio blog tu zinazomcopy, huku mkoani nilipo hata viredio vya huku vinatoaga habari za magazeti kwake. Ila kumbe Millard ni wa muhimu hivi, yaani kukosekana Huduma siku 1 tu wanakuja kushtaki JFNi kwikwi ya hatari. Kuna watu wana viblog na wanajitia kuweka magazeti, leo hawana lolote. Wapo hapohapo dar kama le bongez lakin wanashindwa kwenda kijiweni na kiga picha magazeti.
Itabidi nianze kuingia hiyo website haiwezekani watu wengi hivi waikubali itakua ni super