Afrika Tuna Safari Ndefu

Afrika Tuna Safari Ndefu

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
555
Reaction score
661
Asilimia karibu hamsin ya Wa South Afrika wanaishi kwenye limbwi la umaskini., asilimia iliyobaki ni matajir wa kizungu na familia Chache za ki Afrika.
Umaskini uliokubuhu duniani unatajwa kwenye nchi zilizo chini ya jangwa la Sahara na kwa kweli hili eneo wanaishi Blacks. Asilimia karibu 12 ya RAIA wa Marekani ni weusi., na wakitajwa maskini walioko US wengi wao ni weusi.
Ni ukweli usiopingika pia, majimbo maskini India ni ya wale wenye traits
za weusi. Tatizo ni mfumo wa fikra zetu., MTU hawez kuhadaa watu kwamba jina la chama linabadili mfumo wa MTU kufikir., tofauti tu ni kwamba akiwa huku anapinga na akiwa kule ana-support.
Wanaopinga nadhan ni hatarr zaid SBB sifa kubwa ya watu hawa hisia(emotions) hutawala akili(intelligence).
Nisisahau na Sudan kusini, wenye traits za weusi wako kusini na walipoona wanaonewa na wenzao wakaamua kujitenga, sasa hivi hamna nchi iliyo hatar kuishi kama hiyo baada ya Somalia. Watu wale wale, mazingira yaleyale viongoz wanatokana na watu hao hao. Afrika tuna safar ndefu.
 
Sana mkuu hasa kama tutashindwa kubadili sera na mikakati yetu ya kiuchumi,kijamii n.k
 
Africa tuna matatizo ya kuwa na roho za ubinafsi tu hilo ndiyo chanzo cha matatizo yote.

Ubinafsi wa madaraka,utajiri,elimu,ajira, fursa n.k
 
Binadamu gani kwani ameshafikia safari yake? yaani yupi hana safari ndefu? Au unaona ukimuona mtu anacheka ndo unafikiri amefika?
 
Afrika kinachotuumiza ni ujinga wetu.
Kingine ni ushamba uliopitiliza.......
Labda kwa kuwa tulivuka stage.
 
Afrika tunakosa ustaarabu, ni waharibifu wa vitu vinavyorahisisha maisha. Hatuna uvumilivu, tunapenda mazuri bila kuyatolea jasho.
 
Africa ni kama treni inayopita kwenye reli isiyo yake.

Tunaisha kwa fikra za wazungu ilihali mazingira ni tofauti.
Ni sawa na mmasai anayejilazimisha kucheza taarabu...

Hapo ndipo mtego wa umasikini wetu ulipo. Kuhangaikia kuishi mifumo kinzani na fikra na mazingira yetu halisi.

Tunadai ni Usasa na eti ndio HALI HALISI.

Anaita sasa.
 
Tufanye maombi ya 40 kavu
Nadhani wale wenzangu mnanielewa!!!
 
Ni sawa na mmasai anayejilazimisha kucheza taarabu...

Hapo ndipo mtego wa umasikini wetu ulipo. Kuhangaikia kuishi mifumo kinzani na fikra na mazingira yetu halisi.

Tunadai ni Usasa na eti ndio HALI HALISI.

Anaita sasa.
Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.

Walio adopt Socialism waliumia, walio adopt Capitalism waliumia vile vile. Hao Capitalists na Socialists wanapigania mifumo ya maisha yao maana ndiyo iliyowakuza kwa kuwa inaendana na mazingira yao.

Africa ilihitaji Thinkers wa kuchunguza tabia na mazingira ya jamii zetu ili waweze kuvumbua na ku-propose mode iliyo tofauti na capitalism au socialism lakini yenye kuendana na asili yetu.

Miaka 60 baada ya kuwa huru bado hakuna la maana lililofanyika, tupo tuna wayawaya kwenye hii mifumo ya mabepari. Hata hivyo bado tunayo nafasi ya kurekebisha mambo kama tukiamua.
 
Upo sahihi kabisa.

Sisi tupotupo tu.

Tunategemea kufanyiwa kiila kitu na watu weupe...na pia kutumia yaliyoandaliwa na watu weupe na zaidi hatutumii kiusahihi kama wao walioanzisha. Sio pombe, magari, reli, barabara, umeme n.k

Na sioni dalili yoyote ya kujitoa katika uzuzu huo.

Na iliyotumaliza kabisaaa watu weusi ni kukubali kwa kusaini mkataba wa kudumu ile biashara kati yetu na nchi za ulaya zilizoendea kiviwanda

Ile ya "We produce what we don't consume and consume what we don't produce"

Tutalia milele kwa hilo, na tukijaribu eti kuungana kama Afrika ndio tutafanywa kama alivyofanywa Gadaffi, Lucky dube na wengine.
 
Africa tuna matatizo ya kuwa na roho za ubinafsi tu hilo ndiyo chanzo cha matatizo yote.

Ubinafsi wa madaraka,utajiri,elimu,ajira, fursa n.k
Kama kungoa hadi mazao yaliyopandwa tuu!
 
Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.

Walio adopt Socialism waliumia, walio adopt Capitalism waliumia vile vile. Hao Capitalists na Socialists wanapigania mifumo ya maisha yao maana ndiyo iliyowakuza kwa kuwa inaendana na mazingira yao.

Africa ilihitaji Thinkers wa kuchunguza tabia na mazingira ya jamii zetu ili waweze kuvumbua na ku-propose mode iliyo tofauti na capitalism au socialism lakini yenye kuendana na asili yetu.

Miaka 60 baada ya kuwa huru bado hakuna la maana lililofanyika, tupo tuna wayawaya kwenye hii mifumo ya mabepari. Hata hivyo bado tunayo nafasi ya kurekebisha mambo kama tukiamua.
Umenena Mkuu wangu. Hongera sana.

Hakika ndugu, kuna haja ya Kusuka HESABU zetu wenyewe, Hesabu zao la Mazingira na Nyakati zetu halisi.

Hata tafsiri ya dhana Maendeleo tunayoihangaikia ni Batili, na kwa sababu hiyo kamwe hatutaweza kukwepa Unyonge wetu mbele ya ngozi nyeupe, ila tu kama tutaamka leo hii.

Anaita sasa.
 
Hata ikitokea tubadilishane mabara, sisi tulioshindwa kuwa na sayansi yetu tuende dunia ya kwanza na wa dunia ya kwanza waje dunia ya Tatu, baada ya miaka KUMI, Hali itageuka, miundo mbinu italakufwala, tutaanza kutamani kurudi na kuomba msaada toka Africa Tena, ila sijui laana au ushemeji umetupitia karibu
 
Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.

Walio adopt Socialism waliumia, walio adopt Capitalism waliumia vile vile. Hao Capitalists na Socialists wanapigania mifumo ya maisha yao maana ndiyo iliyowakuza kwa kuwa inaendana na mazingira yao.

Africa ilihitaji Thinkers wa kuchunguza tabia na mazingira ya jamii zetu ili waweze kuvumbua na ku-propose mode iliyo tofauti na capitalism au socialism lakini yenye kuendana na asili yetu.

Miaka 60 baada ya kuwa huru bado hakuna la maana lililofanyika, tupo tuna wayawaya kwenye hii mifumo ya mabepari. Hata hivyo bado tunayo nafasi ya kurekebisha mambo kama tukiamua.
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom