Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,344
Katika hali ya kawaida na elimu ya Tanzania imenishangaza moja ya habari kutoka mkoa Arusha kuwa binti wa miaka 16 eti kidato cha sita kuna FFU mmoja kambaka, sitaki kuongelea kuhusu kubakwa na kubaka lakini najaribu kujiuliza hivi hao watoa taarifa au upande wa walalamikaji katika hiyo kesi walishindwa hata kubuni uongo unaofichika?
Kuhusu elimu ya binti najaribu kufikiri tena kwamba alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 3? Alafu standard 7 alimaliza akiwa na umri wa miaka10? Elimu ya secondary alimaliza kidato cha 4 akiwa na miaka 14? Daaaah naona kama upande wa walalamikaji wabadili umri wa binti au wabadili taarifa za vidato.