mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.
wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.