Wale Wataalamu (Expert) Wa IT kutoka Rwanda wameishia wapi

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
253
500
Wakuu nilisikia Mkuu Kagame anataka kutupatia Wataalamu wa Information Technology na Mambo ya Computer Science kwa nia ya kuzidi Kuamsha Hamasa Juu ya Viwanda na sisi tumpe wataalamu wa Kiswahili Ivi ili swala limeishia Wapi, Niliona Pia swala La kupewa msaada wa Computer ambazo zinatumika sehemu sensitive kweli Ofisi za serikali hili nalo vipi? Ni Kweli Hatufahamu Kuwa Technology ndio ulimwengu wa kileo? Kwanini Tunataka kumkaribishe jirani sehemu tunapohifadhi vitu vyetu muhimu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom