Mkaa mkombozi

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
978
1,000
Wakuu wa jamvi naomba msaada kwa mtu anaejua,Kuna taasisi inauza huu MKAA mbadala Wana uita MKAA MKOMBOZI. Kama wanaweza wakasoma uzi huu tunaomba waache uboya wafanye biashara kisasa how come Wana website,wanafacebook page lakini hata hawajaweka gharama za bidhaa zao,Je kwanini wanaficha? Wanatuaminisha ni nafuu ila bei hawaweki wazi. Mwenye kujua naomba atusaidie kwa uzito wa kg4 na hizo Kg 25

FB_IMG_1497768583291.jpg
 
Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
978
1,000
Ukiwapigia ukaulizia bei vipi
Tunachokwepa kuwapigia ndio isije kuwa kama biashara ya mtumba mwenge au karume muuzaji anakuangalia usoni,akikuona collo anakupiga,dawa wawweke wazi bei ya bidhaa wao wote tujue sio walopigaa simu tu.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,855
2,000
Tunachokwepa kuwapigia ndio isije kuwa kama biashara ya mtumba mwenge au karume muuzaji anakuangalia usoni,akikuona collo anakupiga,dawa wawweke wazi bei ya bidhaa wao wote tujue sio walopigaa simu tu.
sawa mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom