katika kutembea kwangu hapa africa mashariki sijawahi kukutana na KABILA LA WATUSI wala kusikia mtu akizungumza KITUSI ikiwa lugha mama kama vile kihaya, kisukuma, kimakonde, kilugulu na...
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza umesema hauna taarifa zozote za mtu anayedaiwa kuwa Mtanzania, Omega Mwaikambo ambaye alifungwa miezi 3 jela kwa kosa la kuweka picha ya maiti mtandaoni...
Jamaa wamekataza MTU kuwapiga Picha kwa simu so sijajua kuwa wanaogopa au VP.Magu anapata vipi kodi hapa?
J PLUS, Jimmy Mponda 'Master', ni bingwa wa fani ya mapigano aliyejizolea sifa kwenye...
Mimi na baadhi ya watanzania wenzangu,tumefurahishwa baada ya kusikia Serikali haito toza kodi nyumba za tembe! lakini tumeshindwa kufafanua ya kwamba hizi nyumba ni zile tu zenye kujegwa kwa...
Kwanza nieleweke kama kawaida wikiendi huwa napenda kufanya shopping kwa ajili ya kukimbiza ka-wiki. Cha kushangaza toka imeanza awamu hii ya5 kila ninapokuwa nimefanya manunuzi kwenye hizi...
Habari za Asubuhi wadau Tumshukuru Muumba tumeamka salama,Tukiwa kwenye mapumziko na wengine tukijiandaa kwenda ibadani na wale tuliofunga Nimeona weekend yangu leo Nianze kwa Huyu Mnyama Adimu...
Angalia ni lini huyo mtumishi alihitimu kidato cha nne alaf toa miaka 11 au 12 yaani miaka ya elimu ya msingi na sekondari hapo utawakamata tu maana wengine ukipiga hiyo hesabu utakuta walianza...
MAMBO SITA YA KUSISIMUA KUHUSU MBU
Na Thabit Karim Muqbell
1: Inasemakana kuna MBU zaidi ya Trilioni 100 Duniani kote. ambao wamegawanyika katika makundi 3,450. Idadi hii ni mara 133 ya watu...
Habari wana jf
Hili swala nimekuwa nikijiuliza mara nyingi na ni kwasababu sijawahi kushuhudia madawa ya kulevya (unga) ukiteketezwa hadharani kama vilivyo vitu vingne hatarishi kama bidhaa...
Kwa watanzania wote wajengao,kuna mchezo mchafu unaofanyika katika viwanda vya mabati au wakala wao ambapo wauzaji na mafundi hushirikiana kwa pamoja kumwibia mteja kwa mbinu hii…, fundi anapopima...
Naanza kwa kusema, kama siyo kelele za wapinzani haya yote tungeyajuaje!!. Ni kutokana na wapinzani tukajua kwamba fedha za kodi zinaliwa hovyo. Ufisadi wa madini, maliasili na mikataba mingi...
Wakuu,
Muda wa paspoti yangu umeisha na hivyo nataka ku-renew.
Je, nitakapoenda pale Mamb ya ndani nahitaji kukamilisha amambo gani ili nipatiwe paspoti nyingine?
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Hai limetoa siku saba kwa Halmashauri ya Wilaya ya Hai kuondoa taka zilizopo kwenye soko la walaji la Kwa Sadala ili kunusuru afya za walaji.
Pia wamewataka...
Those who don't learn from history are doomed to repeat its mistakes.
Those who create their own alternative history are destined to screw up in new and innovative ways.
Singida Manispaa umeibuka mji unaokuwa kwa kasi sana kwasasa ukilinganisha na miji kama tabora, kahama, Bukuba, Musoma, Kigoma, Lindi,Mtwara, iringa,njombe,sumbawanga.
Kwasasa Mkoa wa Singida...
Kwa jina la Allah (SW) Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Kuna taarifa kuwa Rais wetu mpendwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete akijaaliwa uzima na Uhai Inshallah atajumuika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.