Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:-
1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852.
2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na idadi ya watu 127 million.
3. 53.5 % ya eneo lote Japan ni milima. Eneo linalofaa kwa makazi ya watu ni 13%
4. Vijana (0 - 14 yrs) ni 12.8% na (15-64yrs) ni 61.3%. Wazee/watu wazima ni wengi kuliko vijana.
5. Japan ina changamoto za sunami, mvua kubwa, mafuriko, tetemeko la ardhi na maeneo mengi kuganda na barafu
6. Japan haina Rais, ina Waziri Mkuu na Wizara zake 11
7. Japan ina miji 745 , majiji 770 na vijiji 183
8. Serikali kuu ina wafanyakazi 0.64 million na serikali za mitaa ina wafanyakazi 2.74 million
9. Asilimia 53.5 ya wanaomaliza vidato vya juu hujiunga na vyuo vikuu
10. Wanafunzi wa Olevel ambao hufaulu na kuingia high school n 98.2%
11. Vitabu, ada n bure kwa wanafunzi wrote
12. Asilimia 100 ya watoto wanaomaliza shule ya msingi hujiunga na masomo ya kidato cha kwanza
13. Japan n nchi ya 2 kwa utajiri duniani
14. Japan haizungumzii elimu, barabara, nishati, usafiri, madawa, vyakula etc
15. Japan hakuna malaria wala dawa za malaria.
16. Kukumbatiana, kuhagi, kumshika mtu bega, mikono, kumwangalia mtu sanaaa, kutongoza, kuongea na simu kwenyr mhadhara au mbele za watu hairuhusiwi.
Kwa leo ni hayo tu, kama una swali uliza nikujibu.