nauliza nijue mana nina dogo langu hapa ndo kaua six mwaka jana ila akawa hajafikia zile passes yaani D mbili sasa kaaply diploma mwez huu sasa anahitaji kujua km mkopo upo kwa wanaoenda kusomea diploma kama upo mwaka huu ajue jinsi ya kuaplyKwan huna matumaini ya kupata division 2 form six?