Mrejesho wa Sakata la Maafisa Elimu na Makonda uko vipi?

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,340
2,000
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent to that.

Majuzi, ijumaa huyu jamaa kageukia Ma afisa Elimu mkoa wa Dar. Hawa ni wa ajiriwa wa serikali na wajibika kwa Afisa Elimu mkoa au Katibu Mkuu Wizara ya Elimu...

Binafsi ningekuwa miongoni mwao nisinge andika barua wala kujieleza kwake...

Lengo la uzi huu ni kuomba mrejesho au feedback make Deadline ilikuwa jana, either wajieleze vp watahakikisha Dar inakuwa ya 1 au waache kazi!!

Mm najiuliza kwa style hii ni mkoa gani utakubali uwe wa mwisho? Je no1 atakuwa nani? Je yy alivyo feli shule ya msingi na sekondary ma afisa elimu wake walifukuzwa?
 
ndugaseli

JF-Expert Member
May 17, 2017
864
1,000
mkuu kwahyo nawq unataka wayoto wafeli kama bashite alivyofeli ndo usikie raha ?
 
Masanyiwa Mabula

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
958
1,000
Ndiyo tatizo la kupata ziro. Siku zote unapochanganya siasa na elimu tegemeo anguko kubwa sana. Sasa hivi kila kitu kinafanywa kisiasa. Mataputapu naye kakurupuka huko mpaka sasa hivi sijui tutalipwa lini trilion 110 zetu watu tununue noah
Serikali inatumia nguvu sana. Wajifunze kutoka private schools, ushajiuliza kwann wao watoto wao wapo private schools not, Governmental schools? Ukipata jibu ndilo hilo hilo watumie kusolve elimu ktk shule zao
 
mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
716
1,000
mkuu kwahyo nawq unataka wayoto wafeli kama bashite alivyofeli ndo usikie raha ?
Wewe kama ulikuwa mwanafunzi hebu tueleze hapa ulitumia njia gani ya kufaulu...ili tuwasaidie maafisa elimu wetu pamoja na changamoto ulizopitia kama mwanafunzi.tukianza na wewe tutajua pa kuanzia hadi kufika ngazi za juu kabisa huu utafiti wa ufaulu na kuwa wa kwanza.
 
Ufaulu wa mwanafunzi unategemeana na yy, mwalimu + mazingira.
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,638
2,000
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent to that.

Majuzi, ijumaa huyu jamaa kageukia Ma afisa Elimu mkoa wa Dar. Hawa ni wa ajiriwa wa serikali na wajibika kwa Afisa Elimu mkoa au Katibu Mkuu Wizara ya Elimu...

Binafsi ningekuwa miongoni mwao nisinge andika barua wala kujieleza kwake...

Lengo la uzi huu ni kuomba mrejesho au feedback make Deadline ilikuwa jana, either wajieleze vp watahakikisha Dar inakuwa ya 1 au waache kazi!!

Mm najiuliza kwa style hii ni mkoa gani utakubali uwe wa mwisho? Je no1 atakuwa nani? Je yy alivyo feli shule ya msingi na sekondary ma afisa elimu wake walifukuzwa?
Dar inashika nafas ya 1 kitaaluma?Is it Possible?
 
Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,340
2,000
mkuu kwahyo nawq unataka wayoto wafeli kama bashite alivyofeli ndo usikie raha ?
Hapana! Kufeli kwa mtoto kuna factor nyingi sn..
Mf. 1. Mazingira ya kujifunzia
2. Lugha- kiswahili miaka 7 afu form one una ambiwa masomo yote English.
3. Unmotivated teachers
4. Mwanafunzi binafsi. Hana juhudi ktk masomo, hataki shule, kujituma, kupenda shule, nk
5. Nidhamu ya Mwanafunzi, nk.

Mm nacho pinga hapa ni Bashite kuingilia mamlaka zingine ili hali si jukumu lake. Yy alipaswa amuite Afisa Elimu mkoa tena kwa lugha nzr. Afu Afisa Elimu Mkoa ndio atoe order kwa maafisa wa chini yake kwasabb yy ndie anajua Promotion na Demotion zao.

Pia lengo la uzi huu ni kuomba mrejesho wa maazimio ya Rais wa Dar es Salaam.
 
Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
8,510
2,000
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent to that.

Majuzi, ijumaa huyu jamaa kageukia Ma afisa Elimu mkoa wa Dar. Hawa ni wa ajiriwa wa serikali na wajibika kwa Afisa Elimu mkoa au Katibu Mkuu Wizara ya Elimu...

Binafsi ningekuwa miongoni mwao nisinge andika barua wala kujieleza kwake...

Lengo la uzi huu ni kuomba mrejesho au feedback make Deadline ilikuwa jana, either wajieleze vp watahakikisha Dar inakuwa ya 1 au waache kazi!!

Mm najiuliza kwa style hii ni mkoa gani utakubali uwe wa mwisho? Je no1 atakuwa nani? Je yy alivyo feli shule ya msingi na sekondary ma afisa elimu wake walifukuzwa?

Hahahaha bashite anajiona mwana wa mkuu wa kaya tena mziwanda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom