UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Wadau Nimegundua Kila Binadamu Anapata Uchungu Sana Hasa Akitendewa Vitendo Vya Kinyanyasaji Hasa Maofisini Matokeo Yake Atakuombea Mabaya Yakufike Hasa Ajali Itakayotoa Uhai Wako Ama Kutoa Ini Nje.Hata Mimi Ukinitesa Moyo Ofisini Siku Isiyo Na Jina Utajuta Kuwa Mwanadamu.