Msomi aliyekata tamaa ni msomi dhaifu.

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Msomi aliyekata tamaa ni msomi mdhaifu aliyebakwa na elimu yake ,msomi asiyejitambua ni msomi aliyevunda ambaye amepaka manukato elimu yake kwenye vyeti vyake ili anukie elimu wakati amevunda na elimu yake-

Ukombozi wa elimu bora unatokana na utashi wa mwanafunzi bora katika kutatua matatizo yake binafsi ,jamii inayomzunguka na kuwa suluhisho la kila tatizo linalomkabili-Unawezaje kuwa unatafuta ajira huku unafanya anasa wakati driving licence hauna na wewe ni kula na kulala?

Unatafuta ajira na hujui hata Excell jinsi ya kuitumia na unadai ajira ngumu? Umesoma Marketing na hujui graphic design ila unamuhudumia mwanamke kiasi cha Zaidi ya Tsh 500,000/- ? kwa nini usiwekeze pesa kwenye proeffsional certificate kwenye taaluma yako ili uteke soko la ajira kwa kuwa na package nzuri uliyonayo ?
 

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,488
2,000
kubakwa tena!!!khaaa

ila ujumbe mzuri wamekuelewa wachache..majority ya vijana walio vyuoni na wanaohitimu siku hizi ni wasomi wa kukariri...hivi unakuta anajidai kapata degree yake lakini ukimpiga kimombo utatamani kulia jinsi anavyoangusha broken.
wasomi wa kukariri ndo wanailalama mtaani ajira na kuishia kulala cz hawana uelewa wa taaluma waliyopitia zaidi ya kukariri ya kitabuni na kukopi kwenye mtihani basi.
ukifiatilia vizuri historia zao chuoni utagundua walikua watu wa starehe halafu zile session za kukuza ma kupima knowledge yao walizikimbia mfano assignment za group..personal ass..presentations.field practical..research...seminars nk.
 

tracy martins

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
3,543
2,000
sometimes u need to do portfolio u invest heavily in education and still u gain nothing,why don't u invest in totoz ?
 

pecial

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
632
500
ndio system yetu ya elimu imefikia huku cos kila MTU anasoma ili aajiriwe akili zetu zimegomea hapo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom