Acha siasa na ushabiki.Waombee watu wote kheri. Siyo huyo tu.
Huenda hata unajisahau kujiombea mwenyewe.
Ahsante Mkuu, lakini kumbuka kutoa maoni ni haki yangu ya kikatiba.Kweli ID inawakilisha akili zako
Aisee!... Sijaona siasa wala ushabiki katika comment yangu.Acha siasa na ushabiki.
Waombee watu wote kheri. Siyo huyo tu.
Huenda hata unajisahau kujiombea mwenyewe.
Jaribuni kudhibiti MIHEMKO...Aisee!... Sijaona siasa wala ushabiki katika comment yangu.
Ili kunikosoa, naomba nijibu maswali yafuatayo;
1. Nimeweka siasa gani hapo kwenye comment yangu?
2. Unaelewa vipi Ushabiki? Naam, nimemshabikia nani?
Ahsante.
Umewezaje kufahamu kama nashindwa hata kujiombea mimi mwenyewe!! Onyesha ukomavu wa akili hata asilimia 1. Kila mtu Ana mfumo wake wa kuabudu hayo mengine ya kuwaomba waliokufa mimi sishiriki hiyo shiriki. Ndio maana namuombea huyu aliekuwa hai.Aisee!... Sijaona siasa wala ushabiki katika comment yangu.
Ili kunikosoa, naomba nijibu maswali yafuatayo;
1. Nimeweka siasa gani hapo kwenye comment yangu?
2. Unaelewa vipi Ushabiki? Naam, nimemshabikia nani?
Ahsante.
Sawa Mkuu Korodani. Ubarikiwe.Umewezaje kufahamu kama nashindwa hata kujiombea mimi mwenyewe!! Onyesha ukomavu wa akili hata asilimia 1. Kila mtu Ana mfumo wake wa kuabudu hayo mengine ya kuwaomba waliokufa mimi sishiriki hiyo shiriki. Ndio maana namuombea huyu aliekuwa hai.
Nasisitiza acha siasa na mihemko ya kisiasa.
Samahani mkuu compact kama nimekukwaza.Sawa Mkuu Korodani. Ubarikiwe.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us