Serikali inaibiwa MUDA zaidi kuliko PESA

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
535
1,000
Baada ya maslahi ya watumishi kutopandishwa kwa muda mrefu, na wengi wao wakiwa katika vitengo wasivyoweza kula kwa urefu wa kamba zao; watumishi wengi wamekuwa wakiibia muda serikali au waajiri wao ama kwa kutofanya majukumu wanayopaswa kufanya ndani ya muda wa kazi au kutofanya kazi kwa masaa wanayotakiwa kufanya.
 

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,226
2,000
Sure, hata mimi naiibia serikali muda maana nimechoka kudai malimbikizo yangu miaka nenda miaka rudi. Nahakikisha kila wiki nakung'uta siku moja nzima au moja na nusu. Dadeki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom