Iweje Seth na Ruge wafikishwe mahakamani peke yao?

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Nimejaribu kusoma maandiko mbali mbali mitandaoni wengi wakifurahia kukamatwa kwa Seth na Rugemalira, wengi wakaenda mbali zaid kumpongeza mh.

nkajiuliza wengine wako wapi? Ripot ya Bunge ilielezea kwa uwazi kabisa ushiriki wa wahusika...mawaziri..gavana na wahusika wengine ambao walihusika moja kwa moja kupitisha malipo hayo ya ESCROW na tukajionea wenyewe kwa ushaidi usio na shaka migao ya watu waliojichukulia mgao wao Mkombozi Bank..achana na wale wa stanbic ambao hatukuwah kuambiwa n akina nan!

Swali lang liko pale pale kwann hawa tu ndo wafikishwe mahakamaan peke yao wakat kuna ushaid ambao hauna mashaka wa wahusika wengine? au polis hawakua wanatosha kuwakamata???

Ni vema Mh akatutendea haki kwa kuwafikisha mahakaman chain nzima sio kung'ata na kupuliza otherwise tutakua tunachezewa akili.......i smell something on Bakhressa saga, Manji, Dangote, Accacia..na hili pia.....
 
MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,026

Ngojea wataliamsha dude mahakamani na kesi ndio itaishia hapo.
 
jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Sasa mnataka kila kitu kifanyike kwa mara moja? Mwanadamu bhana!

Nmejaribu kuwaza mkuu huyu ndo aliemsulubu muhongo bungen kwa kuiba....escrow..ila huyu huyu alivoingia magogon akampa uwazir,,,,,,,,kuna nn apo kat kat?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom